Recent-Post

RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA ALIYEKUWA SPIKA MHE.JOB NDUGAI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Post a Comment

0 Comments