RAIS SAMIA ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA IKULU CHAMWINO DODOMA

  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata keki kama ishara ya kusherehekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa leo tarehe 27 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Post a Comment

0 Comments