Rais Samia Suluhu Hassan Ashiriki Mkutano Wa Dunia Wa Kusherehekea Mafanikio Ya Miaka 10 Ya Tamko La London Na Kuzindua Tamko La Kigali

RAIS Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano wa Dunia wa kusherehekea Mafanikio ya Miaka 10 ya Tamko la London na Kuzindua Tamko la Kigali uliofanyika kwa njia ya Mtandao, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mkutano wa Dunia wa kusherehekea Mafanikio ya Miaka 10 ya Tamko la London na Kuzindua Tamko la Kigali uliofanyika kwa njia ya Mtandao, Ikulu Chamwino Mkoani leo tarehe 27 Januari, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mkutano wa Dunia wa kusherehekea  Mafanikio ya Miaka 10 ya Tamko la London na Kuzindua Tamko la Kigali uliofanyika kwa njia ya Mtandao, Ikulu Chamwino Mkoani leo tarehe 27 Januari, 2022.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments