Recent-Post

VIJANA WA SINGIDA FC VITO KUPITIA SHIRIKA LA SPORTS DEVELOPMENT AID WAKIKABIDHIWA VIFAA VYA SHULE NA MICHEZO IKIWA NI ZAWADI KUTOKA KWA WALEZI WAO WA NCHINI FINLAND

       
Mwenyekiti Wa Chama Cha Mpira Wa Miguu Mkoani Singida Bw. Hamisi Kitila amewakabidhi vifaa vya Shule na Michezo pamaoja na taa ya umeme kwajili ya kujisomea wakati umeme unapokuwa umekatika Vijana Hao Walioshirika Mashindano Ya Kimataifa Ya Mpira Wa Miguu Kwa Vijana Wa Umri Wa Chini Ya Miaka  11 Mwaka 2019 Katika Jiji La Helsink Nchini Finland. 
                                                                                                                                                            
Mwenyekiti wa Chama Cha Mpira Mkoa Wa Singida Bw. Hamisi Kitila Akimkabidhi Vifaa Mchezaji Wa Fc Vito Singida Kwajili Ya Shule Na Mchezo
Picha Ya Pamoja Afisa Michezo Wa Manispaa Ya Singida Samwel Mwaikenda ,Mwenyekiti Wa Chama Cha Mpira Wa Miguu  Kocha na vijana wa Fc Vito Singida.


Na Mwandishi Wetu Maalum.
                          

Post a Comment

0 Comments