MORISSON ASAWAZISHA BAO, SIMBA SC IKITOKA SARE YA 1-1 DHIDI YA USGN

KLABU ya Simba yalazimishwa sare katika mchezo hatua ya makundi michuano ya Klabu Bingwa Afrika dhidi ya timu ya USGN ya nchini Niger.

USGN ilianza kupata bao kipindi cha kwanza na kuongoza mpaka dakika ya 86 ya mchezo ambapo Simba Sc kufanikiwa kusawazisha kupitia kwa Benard Morrison.

Benard Morrison alipata bao hilo dakika chache tu tokee benchi akichukua nafasi ya Peter Banda ambaye kwenye mchezo huo hakuwa kwenye ubora wake uliozoeleka.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments