RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA BARAZA LA UMOJA WA ULAYA MHE.CHARLES MICHEL MJINI BRUSSELS NCHINI UBELGIJI

   


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya Mhe. Charles Michel mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya Baraza hilo Brussels nchini Ubelgiji


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya Mhe. Charles Michel mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya Baraza hilo Brussels nchini Ubelgiji


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amewasili katika chumba cha Mkutano kwa ajili ya mazungumzo na Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya Mhe. Charles Michel leo tarehe 15 Februari, 2022 katika Makao Makuu ya Baraza hilo Brussels nchini Ubelgiji. PICHA NA IKULU

Post a Comment

0 Comments