RAIS SAMIA AZINDUA SHULE YA UONGOZI YA MWALIMU JULIUS NYERERE KIBAHA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akizindua Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere leo Tarehe 23/02/2022 Kibaha mkoani Pwani. Picha na Emmanuel Mbatilo


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akikata utepe baada ya kuzindua Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere leo Tarehe 23/02/2022 Kibaha mkoani Pwani. Picha na Emmanuel Mbatilo.


Mkuu wa Majeshi ya ulinzi nchini Jenerali Venance Mabeyo (kushoto) akiwasili katika viwanja vya Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere Kibaha mkoani Pwani ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan anazindua shule hiyo. Picha na Emmanuel Mbatilo


Baadhi ya wananchi wakifuatilia uzinduzi wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere leo Tarehe 23/02/2022 Kibaha mkoani Pwani ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan anazindua shule hiyo.


Bendi ya TOT ikitumbuiza katika hafla ya ufunguzi wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere leo tarehe 23/02/2022 Kibaha mkoani Pwani ambapo Rais wa Jamhuri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan anazindua shule hiyo. 

Rais wa Jamuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Serikali wakiongozwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philipo Mpango akiwaongoza baadhi ya Viongozi wa Serikali, Rais Mstaafu Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt.Ali Mohamed Shein, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Tulia Akson, Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda na viongozi wengine mara baada ya kuwasili kwenye Ufunguzi wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere Kibaha mkoani Pwani leo Tarehe 23/02/2022. 

Msanii wa Singeri Mzee wa Bwax akitumbuiza katika Ufunguzi wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere leo Tarehe 23/02/2022 Kibaha mkoani Pwani ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan anazindua shule hiyo.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments