Recent-Post

RAIS SAMIA SULUHU AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA UFARANSA MHE. EMMANUEL MACRON KATIKA IKULU YA ELYSÉE PARIS UFARANSA

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Ikulu ya Elysée, Paris nchini Ufaransa kwa ajili ya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo Emmanuel Macron leo tarehe 14 Februari, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mwenyeji wake Rais wa Ufaransa Mhe. Emmanuel Macron katika Ikulu ya Elysée, Paris nchini Ufaransa leo tarehe 14 Februari, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na mwenyeji wake Rais wa Ufaransa Mhe. Emmanuel Macron mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Elysée, Paris nchini Ufaransa leo tarehe 14 Februari, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo baina ya pande mbili na Rais wa Ufaransa Mhe. Emmanuel Macron ambaye aliongoza Ujumbe wa nchi hiyo katika Ikulu ya Elysée, Paris nchini Ufaransa leo tarehe 14 Februari, 2022.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na kuagana na mwenyeji wake Rais wa Ufaransa Mhe. Emmanuel Macron mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu ya Elysée, Paris nchini Ufaransa leo tarehe 14 Februari, 2022. PICHA NA IKULU

Post a Comment

0 Comments