Recent-Post

RAIS SAMIA SULUHU AONGOZA KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA KILICHOFANYIKA WHITE HOUSE JIJINI DODOMA

  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM kilichokutana leo tarehe 08 Februari 2022 katika ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Jijini Dodoma.

Post a Comment

0 Comments