Recent-Post

SHAFFIH DAUDA AFUNGIWA KUJIHUSISHA NA MICHEZO

TFF imemfungia Shaffih Dauda kujihusisha na shughuli za mpira wa miguu ndani na nje ya nchi kwa kipindi cha miaka mitano na faini ya TZS milioni 6, huku Hawaiju Gantala akifungiwa maisha.

Wamepewa adhabu hizo kwa kwenda kinyume na Kanuni za Maadili, na Kanuni za Utii za TFF.

Post a Comment

0 Comments