SPIKA DKT. TULIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS MIGOMBANI ZANZIBAR

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt.Tulia Ackson akizungumza na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othaman katika ofisi za Makamu wa Rais Migombani Zanzibar, Februari 21, 2022


Spika wa Bunge, Mhe. Dkt.Tulia Ackson akiagana na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othaman katika ofisi za Makamu wa Rais Migombani Zanzibar, Februari 21, 2022

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)


Spika wa Bunge, Mhe. Dkt.Tulia Ackson akiteta jambo na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othaman katika ofisi za Makamu wa Rais Migombani Zanzibar, Februari 21, 2022


Spika wa Bunge, Mhe. Dkt.Tulia Ackson katika picha ya pamoja na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman katika ofisi za Makamu wa Rais Migombani Zanzibar, Februari 21, 2022

 

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments