Recent-Post

Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Februari 8, 2022

FRANKA ya Burundi inanunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.206 huku dola ya Marekani nchini ikinunuliwa kwa Shilingi 2286.7 huku ikiuzwa kwa Shilingi 2309.53.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Februari 8, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Wakati huo huo, Euro ya Ulaya inanunuliwa kwa shilingi 2620.06 na kuuzwa kwa shilingi 2646.72.

Aidha,kwa mujibu wa BoT, Paundi ya Uingereza inanunuliwa kwa Shilingi 3090.2 huku ikiuzwa kwa Shilingi 3122.023.

Yuan ya China inanunuliwa kwa shilingi 359.79 huku ikiuzwa kwa shilingi 362.93 na Yen ya Japan inanunuliwa kwa shilingi 19.9 na kuuzwa kwa shilingi 20.09.

Kwa upande wa Franka ya Rwanda inanunuliwa kwa shilingi 2.214 na kuuzwa kwa shilingi 2.262 huku shilingi ya Uganda ikinunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66.

Post a Comment

0 Comments