Kamati ya Siasa Mkoani Singida Imeendelea Na Ziara Ya Kukagua Miradi Na Kuwataka Wananchi Kujitokeza Kwenye Kazi Za Maendeleo.

Wananchi Wanatakiwa Kujitokeza Katika Shughuli Mbali Mbali Za Kujenga Miradi Mbali Mbali Na Kusimamia Miradi Katika Jamii Na Taifa Kwa Ujumla.

Kauli Hiyo Imetolewa Na Mwenyekiti Wa Chama Cha Mapinduzi Ccm Mkoa Wa Singida Alhaji Juma Kilimba Wakati Wa Ziara Ya Kamati Ya Siasa Mkoa, Inayoendelea Kukagua miradi Mbali Mbali Mkaoni Singida. 

Mwenyekiti Wa  Ccm Mkoa Wa Singida Alhaji Juma Kilimba Amewaeleza Wananchi Wa Kijiji Cha Mwasutianga Katika Kataa Ya Irisya Wilayani Ikungi  Kuwa Miradi Ni Yakwao Na Si Miradi Ya Vingozi Kwahiyo Hawana Budi Ya Kushirikiana Na serikali ili Kazi Ziende Halaka Na Kwa Ufanisi ,Na Nibaada Ya Kuwakuta Wananchi Wakiendelea Kufanya Kazi Katika Mradi Wa Kituo Cha Afya Kinachojengwa Irisya, Na Kikimalizika Kitaweza kuhudumia zaida ya Wakazi 30,000/= Katika Maeneo Hayo.

Wanachi Walio Jitokeza Katika Shughuli za Ujenzi Wa Zahanati Irisya

 Mkuu Wa Mkoa Wa Singida Dr. Binilith Mahenge Amepongeza Kamati Ya Siasa Kwa Kupitia Kwa Mwenyekiti Wa Chama Cha Mapinduzi Ccm  mkoa Wa Singida Alhaji Juma Kilimba Kwa Kusema Anafalijika Sana Anapoona Kamati Zikiendelea Kufika Katika Miradi Mbali Mabali Mkoani Singida Na Kusema amejilithisha na Ujenzi Unaoendelea Katika Kituo Cha Afya Irisya Kwa kuona Utendaji Kazi Unaendelea Na kuona Watu Wengi Wanaojitokeza Katika Ufanyaji Kazi na Usimamizi Unaoendelea Katika Mradi huo.

                            

Msingii Wa Zahanati Ya Irisya
Majengo Ya Shule Ya Msingi Kintandaa
                     

                                     

Tazama Picha Mbali Mbali Za Matukio Katika Ziara Ya Kamati Ya Siasa Ya Mkoa Wa Singida Iliyofanyika Katika Wilaya Ikungi Mkoani Singida

Mkurugenzi Na Kaimu Mkuu Wa Wilaya Ya Ikungi


                                        
              


                                                             
Kwa Habari Picha Alievaa Tisheti Inayomuonesha Raisi Mama Samia Ni Mwenyekiti Wa Umoja Wa Vijana Mkoa Wa Singida Dr.Denisi Nyiraha Na Alie Vali Shati Ya Kijani Ni Katibu Wa (UVCCM )Mkoa Bi Vaileth Soka.
 Ziara hiyo inaendelea Tarehe 18 Katika Manispaaa Singida Na  Kikosi Kingine Kitaelekea Katika Halmashauri Ya Singida.(DC). 


Post a Comment

0 Comments