MATUKIO YANAYOENDELEA KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KITAIFA JIJINI ARUSHA

 

Mwanamke akiendesha mtambo kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa ambayo yanafanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha

Leo Machi 8 ni Siku ya Wanawake Duniani. Nchini Tanzania maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa yanafanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha yakiongozwa na Kauli Mbiu ‘Kizazi cha haki na usawa kwa maendeleo endelevu, Tujitokeze kuhesabiwa’ ambapo Mgeni Rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella.

Maadhimisho haya ya siku ya wanawake yanayoenda sanjari na Maonesho pamoja na maandamano ya makundi mbalimbali ya wanawake yamehudhuriwa na wadau mbalimbali ukiwemo Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP).

Tazama picha za matukio ya Siku ya Wanawake Duniani yanayoendelea jijini Arusha leo Jumanne Machi 8,2022.
Mgeni Rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa ambayo yanafanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha akiwa katika banda la Mtandao wa Jinsia Tanzania ( TGNP). Kushoto ni Mkurugenzi wa TGNP, Bi. Lilian Liundi. 
Mgeni Rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella (katikati) kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa ambayo yanafanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha akiwa katika banda la Mtandao wa Jinsia Tanzania ( TGNP). 
Mgeni Rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella (katikati) kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa ambayo yanafanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha akiwa katika banda la Mtandao wa Jinsia Tanzania ( TGNP).
Mgeni Rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella (kulia) kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa ambayo yanafanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha akiwa katika banda la Mtandao wa Jinsia Tanzania ( TGNP).
Mgeni Rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella (kushoto) kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa ambayo yanafanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha akiwa katika banda la Mtandao wa Jinsia Tanzania ( TGNP).
Mgeni Rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa ambayo yanafanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha akielekea Jukwaa kuu kwa ajili ya kupokea maandamano ya wanawake kutoka makundi mbalimbali
Mgeni Rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella  akipokea maandamano ya wanawake kutoka makundi mbalimbali kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa ambayo yanafanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha
Mgeni Rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella  na viongozi mbalimbali wakipokea maandamano ya wanawake kutoka makundi mbalimbali kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa ambayo yanafanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha
Mwanamke akiendesha mtambo kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa ambayo yanafanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha
Mwanamke akiendesha mtambo kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa ambayo yanafanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha
Wanawake wafanyakazi kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa ambayo yanafanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha
Maandamano yakiendelea
Wa pili kushoto ni Mkurugenzi wa TGNP, Lilian Liundi akifuatilia matukio wakati maandamano ya wanawake yakiendelea









TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments