Mbowe alivyowasili kanisani

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwasili katika katika Kanisa Kuu la Azania Front kwa ajili ya ibada ya shukrani leo Jumapili Machi 6, 2022. Picha na Michael Matemanga
 Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amewasili katika Kanisa Kuu la Azania Front kwa ajili ya ibada ya shukrani leo Jumapili Machi 6, 2022.
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiingia katika Kanisa Kuu la Azania Front kwa ajili ya ibada ya shukrani leo Jumapili Machi 6, 2022. Pichaa na Michael Matemanga

 Mbowe na wenzake watatu juzi Ijumaa Machi walifutiwa kesi ya ugaidi iliyokuwa ikiwaakabili.

Kesi hiyo ilifutwa baada ya siku 216 kupita tangu ilipoanza kusikilizwa Jumanne ya Agosti 31, 2021 katika Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi.

Leo Jumapili saa 3:30 Mbowe aliwawasili katika kanisa Azania Front lililopo Posta Jijini Dar es Salaam kwa ajili kushiriki ibada ikiwa ni pamoja na kutoa shukrani.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments