Recent-Post

Orodha ya Makatibu wa Wazazi Wilaya walioteuliwa na baadhi ya watumishi wanaokwenda makao makuu

 *Pia wapo waliohamishwa vituo vya kazi

KIKAO Maalum cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana Dodoma tarehe 30, Machi, 2022 pamoja na mambo mengine lkilifanya uteuzi wa watendaji wa Jumuiya ya Wazazi ngazi ya wilaya.Sambamba na kufanya uhamisho kwa baadhi ya watendaji wa wilaya na makao makuu kama ilivyoorodheshwa kupitia taarifa hii iliyotolewa na Naibu Katibu Mkuu Bara, Daniel George kwa niaba ya Katibu Mkuu Umoja wa Wazazi;











Post a Comment

0 Comments