RAIS SAMIA AKAGUA MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU MAALUMU WA CCM UTAKAOFANYIKA KESHO

 

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan,  leo tarehe 31 Machi, 2022 amekagua  maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM katika Ukumbi wa Mikutano wa  Jakaya  Kikwete Jijini Dodoma utakaofanyika kesho April 01, 2022.

Post a Comment

0 Comments