RAIS SAMIA AMEKUWA MWALIMU WETU - MTATURU

Mbunge wa Singida Mashariki, Miraji Mtaturu amesema Mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan, madarakani umekuwa darasa la kuwafundisha uongozi, huruma na uvumilivu wa hali ya juu.

Aidha, katika mwaka mmoja huo Rais Samia ameweka alama ya maendeleo kwenye vitongoji na vijiji vya wilaya ya Ikungi.

Akizungumza Machi 22 Jijini Dodoma amesema kupitia yeye wamejua namna ambavyo kiongozi anapaswa kuwa.

Hakika ni siku muhimu ya kutambua, kumshukuru na zaidi kumpongeza Mhe Rais wetu Samia Suluhu Hassan, kwanza kwa kutimiza mwaka mmoja madarakani, pili kwa kuweka alama katika maeneo yetu na tatu kwa kuwa mwalimu mzuri,"amesema.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments