RAIS SAMIA SULUHU AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MWENYEKITI NA RAIS WA BIG WIN PHILANTHROPY

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mwenyekiti na Rais wa Big Win Philanthropy Bi. Jamie Cooper mara baada ya Kikao chao kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 26 Machi, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Mwenyekiti na Rais wa Big Win Philanthropy Bi. Jamie Cooper aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 26 Machi, 2022.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments