RAIS SAMIA SULUHU AWEKA MAWE YA MSINGI KATIKA MIRADI YA JESHI LA MAGEREZA MAKAO MAKUU MKOANI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza CGP Meja Jenerali Suleiman Mzee mara baada ya kuzindua Nyumba za Makazi ya watumishi wa Jeshi la Magereza zilizopo Veyula Msalato Mkoani Dodoma leo tarehe 25 Machi 2022. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni pamoja na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP) Meja Jenerali Suleiman Mzee wakati akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa Jiwe la Msingi Ujenzi wa Hospitali ya Jeshi la Magereza Kanda ya kati Dodoma katika eneo la Veyula mkoani Dodoma.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni pamoja na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza CGP Meja Jenerali Suleiman Mzee akivuta kitambaa kuashiria uzinduzi wa Nyumba za Makazi ya watumishi wa Jeshi la Magereza zilizopo Veyula Msalato Mkoani Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni pamoja na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza CGP Meja Jenerali Suleiman Mzee wakati wakivuta kitambaa kuashiria uzinduzi wa Kiwanda cha Samani cha Magereza kilichopo Msalato mkoani Dodoma leo 25 Machi, 2022. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni pamoja na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza CGP Meja Jenerali Suleiman Mzee wakati akikata utepe kuashiria uzinduzi Kiwanda cha Samani cha Magereza kilichopo Msalato mkoani Dodoma leo 25 Machi, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kuhusu utendaji kazi wa mashine mbalimbali za Kiwanda cha utengenezaji wa Samani mara baada ya kukizindua kiwanda hicho kilichopo Msalato mkoani Dodoma leo 25 Machi, 2022. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Magereza pamoja na Wananchi mara baada ya kuweka Mawe ya Msingi na kuzindua miradi mbalimbali ya Jeshi la Magereza Makao Makuu Mkoani Dodoma leo tarehe 25 Machi, 2022.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments