TEAM MATE SC:TIMU YA WATUMISHI MANISPAA YA SINGIDA ZIARANI MKOANI SHINYANGA WILAYANI KAHAMA

Team Mate Ni Timu Ya Waalimu Katika Manispaa Ya Singida ,Timu Ilisafili kutoka mkoani Singida Na Kuelekea mkoani Shinyanga Wilayani Kahama Kwajili Ya Michezo Ya Kirafiki Kati  Ya Watumishi Wa  Kahama Kwajili Ya Kujenga Afya ,Elimu,Mazingira Na Kutoa Misaada Kwa Wahitaji.                   
Team Mate Sc, Wikiendi Hii Ilifanikiwa Kucheza Mechi Mbili Katika Kiwanja Cha Taifa Kahama ,Mchezo Wa Kwanza Team Mate Walikubali Kichapo Cha Mabao 2 Kwa Bila Kutoka Kwa Watumishi wa Wilaya Ya Kahama Mkoani Shinyanga,,Mechi Ya Pili Timu Hizo Zilikutana Siku Ya Jumapili Asubuhi Katika Dimba La Taifa Stadium Kahama na kuchoshana Nguvu Kwa Kutoka Sare Ya Bao 2 Kwa 2.
Team Mate Sc Ya Singida, Manispaa Ya Singida Inandelea na Kujipanga  Kusheherekea Mwaka Mmoja Wa Raisi Wa Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hasana  Kwa Kuelekea Kasikazina Mwa Tanzania Kwa Dhamira Ya kucheza Mechi Za Kirafiki Na Kuwafikia  Watu Wenye Mahitaji,Kujenga ,Afya Na Kuendelea Kupeana Elimu Katika Mamba Mbali Mbali Ya Kijami na Taifa Kwa Ujumla

                                 

Na Mwandishi Wetu Abdul Bandola. 

Post a Comment

0 Comments