WABUNGE WA BUNGE LA TANZANIA WASHIRIKI KIKAO CHA UMOJA WA MABUNGE YA UKANDA WA KUSINI MWA AFRIKA (SADC PF) BALI, INDONESIA


Wajumbe wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) wakiwa katika kikao cha Umoja wa Mabunge ya Ukanda wa Kusini mwa Afrika (SADC PF) katika Mkutano wa 144 wa IPU unaoendelea leo katika kituo cha kimataifa cha Mikutano Bali, Indonesia, Machi 19, 2022


Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao pia ni Wajumbe wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) wakishiriki kikao cha Umoja wa Mabunge ya Ukanda wa Kusini mwa Afrika (SADC PF) katika Mkutano wa 144 wa IPU unaoendelea leo katika kituo cha kimataifa cha Mikutano Bali, Indonesia, Machi 19, 2022


Spika wa Bunge la Namibia ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Mabunge ya Ukanda wa Kusini mwa Afrika (SADC PF), Prof. Peter Katjavivi akiongoza kikao cha Umoja huo katika Mkutano wa 144 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaoendelea katika kituo cha kimataifa cha Mikutano Bali, Indonesia, Machi 19, 2022


Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Elibariki Kingu akichangia jambo wakati wa kikao cha Umoja wa Mabunge ya Ukanda wa Kusini mwa Afrika (SADC PF) katika Mkutano wa 144 wa IPU unaoendelea leo katika kituo cha kimataifa cha Mikutano Bali, Indonesia, Machi 19, 2022

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Post a Comment

0 Comments