WABUNGE WANAWAKE BUNGE LA TANZANIA AMBAO PIA NI WAJUMBE WA UMOJA WA MABUNGE DUNIANI (IPU) WASHIRIKI KIKAO CHA 33 CHA JUKWAA LA UMOJA WA WABUNGE WANAWAKE DUNIANI

 

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Duarte Pacheco akifungua Kikao cha 33 cha Jukwaa la Umoja wa Wabunge Wanawake Duniani katika Mkutano wa 144 wa IPU unaoendelea leo katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali, Indonesia, Machi 20, 2022

Wabunge Wanawake wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao pia ni Wajumbe wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) wakishiriki Kikao cha 33 cha Jukwaa la Umoja wa Wabunge Wanawake Duniani katika Mkutano wa 144 wa IPU unaoendelea leo katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali, Indonesia, Machi 20, 2022

Kaimu Mwenyekiti wa Jukwaa la Umoja wa Wabunge Wanawake Duniani (IPU), Mhe. Roba Putri akiongoza kikao cha 33 cha Jukwaa hilo katika Mkutano wa 144 wa IPU unaoendelea leo katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali, Indonesia, Machi 20, 2022

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments