Recent-Post

YANGA YAZIDI KUWA TAMU, YAINYUKA KMC FC MABAO 2-0

 

YANGA yazidi kujiweka pazuri katika kuutafuta Ubingwa wa NBC Premier League ambapo leo hii imeendeleza ushindi katika ligi hiyo baada ya kuifunga KMC mabao 2-0.

Yanga ilianza kupata bao la kwanza kupitia kwa Djuma Shabani akifunga bao la kichwa akipokea mpira uliopigwa kona na Chiko Ushindi na kuwafanya waongoze katika kioindi cha kwanza.

Fiston Mayele hakuwa na bahati ya kupachika bao leo japokuwa aliweza kusababisha bao ambalo alijifunga Adrew Vicent .

Yanga inaendelea na wimbi la ushindi pasipo kuruhusu bao kufungwa kwa michezo nyingi mfululizo.

Post a Comment

0 Comments