KIKAO KAZI BAADA YA MAPOKEZI KWA MAKATIBU WA WILAYA WA UVCCM (M) SINGIDA.

Leo Tarehe 04/04/2022 Katibu Wa Uvccm Mkoa Wa Singida Ndg. Vaileth E. Soka Amefanya Kikao Kazi Na Makatibu Wa Uvccm Wilaya Walio Riport Kazini Mkoani Singida 
Katibu Uvccm(M) Singdaeo Vaileth Soka Akiwa Na Makatibu Wa Wilaya Za Mkoa Wa Singida Baada Ya Kuripoti Kazini Leo

Katibu Wa Uvccm Mkoa Wa Singida Ndg. Vaileth Soka Amewaeleza Makatibu Wa Wilaya Wa Umoja Wa Vijana Walioriport  Mkoani Singida Kuhusu Utendaji Na Usimamizi Wa Sahihi Wa Uchukuaji Na Urejeshaji Form Kwenye Uchaguzi Unao Tarajia Kufanyika Hivi Karibuni Ndani Ya Chama. 

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments