Kinana Aanza Ziara Pwani, Ataka Haki Uchaguzi CCM Mashinani

 
MAKAMU  Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Msataafu Abdulrahman Kinana, ameanza ziara ya kikazi ambapo akiwa wilayani Mkuranga amewataka viongozi matawi, kata na Wialaya kusimamia Uchaguzi huru na WA haki.

Akizugumza na wana CCM wa Mkoa wa Pwani, atika mkutqno wa ndani ulifanyika Ofisi za CCM Wilaya Mkuranga, Kinana amesema Chama imara kuanzia katika shina.

Awali baada ya kupokelewa wilayani Mkuranga, Kanali Kinana aliweka jiwe la msingi la ujenzi wa Ofisi za Chama Tawi la Mwanambaya.

Kinana na msafara wake wanendelea na ziara hiyo wakielekea mkoani Tanga kuendelea na ziara hiyo ya mikoa minne.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments