Recent-Post

KINANA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA HAPA NCHINI, JIJINI DAR ES SALAAM LEO.

 

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akimsindikiza Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania, Mhe.Chen Mingjian, wakati akiondoka katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, baada ya mazungumzo yao, leo. Kushoto ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga.Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania, Mhe.Chen Mingjian, (kushoto) katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana wakifurahi katika mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania, Mhe.Chen Mingjian, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Aprili 14 2022.


Picha ya Pamoja ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania, Mhe.Chen Mingjian, alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Aprili 14 2022.


Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akimshukuru Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania, Mhe.Chen Mingjian, akiwa katika gari ili kuondoka katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, baada ya mazungumzo yao, leo.Kushoto ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga.

Post a Comment

0 Comments