KINANA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WA MSUMBIJI NA RWANDA NCHINI TANZANIA LEO JIJINI DAR

 


Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Balozi wa  Msumbiji Nchini Tanzania Mheshimiwa Ricardo Mtumbuida leo  Aprili 12 2022 ,katika Ofisi Ndogo za CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Msumbiji Nchini Tanzania Mheshimiwa Ricardo Mtumbuida (kushoto) leo  Aprili 12 2022, katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.


Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akimsindikiza /akiagana na Balozi wa Msumbiji Nchini Tanzania Mheshimiwa Ricardo Mtumbuida (kushoto) leo Aprili 12 2022, katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.


Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Balozi wa  Rwanda Nchini Tanzania Mej. Jen. Charles Kalamba, leo  Aprili 12 2022 ,katika Ofisi Ndogo za CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Mej. Jen. Charles Kalamba, (kushoto) leo  Aprili 12 2022, katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiagana na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Mej. Jen. Charles Kalamba, (kushoto) leo Aprili 12 2022, katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam. (Picha  Zote na Fahad Siraji)

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments