KINANA ALIVYOWASILI UKUMBINI LEO WAKATI WA MIKUTANO JIJINI ARUSHA

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana amewasili katika ukumbi wa mikutano wa Mount Meru jijini Arusha kwa ajili ya kuzungunza na wana CCM.

Kinana akiwa ameambatana na Katibu Mkuu wa Chama hicho Daniel Chongolo pamoja na Katibu wa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka waliwasili katika ukumbo huo na kupokelewa na maelfu wa wanachama waliokuwa wakimsubiri kwa hamu.

Kabla ya kuingia ukumbini walipokelewa na buradani za ngoma za asili na bendi iliyokuwa ikitumbuiza kwa kuimba wimbo maalum.
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Wana CCM alipokuwa akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa Mount Meru jijini Arusha leo Aprili 27,2022 kwa ajili ya kuzungunza na wana CCM.PICHA NA MICHUZI JR-MMG
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akisalimiana na viongozi wa Dini,Wana CCM alipokuwa akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa Mount Meru jijini Arusha leo Aprili 27,2022 kwa ajili ya kuzungunza na wana CCM.
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Monduli Mh.Fred Lowassa ndani ya ukumbi mara baada ya kuwasili.
Makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Chama hicho Ndugu Daniel Chongolo kabla ya mkutano kuanza rasmi
Meza kuu ndani ya Ukumbi


Makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akimuelekeza jambo   Katibu wa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka,kushoto ni  
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Ndugu Zolothe Steven

Makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akizungumza jambo na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Ndugu Zolothe Steven  alipokuwa akielekea katika ukumbi wa mikutano wa Mount Meru jijini Arusha kwa ajili ya kuzungunza na wana CCM.
 Na Said Mwishehe-Arusha

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments