MAJALIWA ASHIRIKI UCHAGUZI WA VIONGOZI NGAZI YA SHINA WA CHAMA CHA MAPINDUZI


 

Mbunge wa Jimbo la Ruangwa, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipiga kura kuwachagua viongozi wa Shina namba moja Tawi la Nanguruwe. Uchaguzi huo umefanyika katika Kata ya Nandagala Ruangwa mkoani Lindi Aprili 16, 2022. Chama cha Mapinduzi kipo katika hatua za kufanya chaguzi za ndani.Mbunge wa Jimbo la Ruangwa, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Shina baada ya kupiga kura kuwachagua viongozi wa Shina namba moja Tawi la Nanguruwe. Uchaguzi huo umefanyika katika Kata ya Nandagala Ruangwa mkoani Lindi Aprili 16, 2022. Chama cha Mapinduzi kipo katika hatua za kufanya chaguzi za ndani.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments