MAKAMU WA RAIS DKT.MPANGO ASHIRIKI FUTARI NA MAKUNDI MAALUM LEO JIJINI DODOMA

   

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 26 Aprili 2022 ameshiriki futari na wazee pamoja makundi maalum katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete mkoani Dodoma. Futari hiyo imehudhuria na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa, Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma, Mawaziri, Makatibu wakuu pamoja na viongozi wa dini.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments