MANARA : KAMA NITAKUWA NA UWEZO WA KUWAHUDUMIA KIBAIOLOJIA NA KIFEDHA NITAONGEZA MKE WA TATU

 

Picha ya Haji Manara na mke wake wa pili Rubynah Bint Salum
**
Baada ya kuongeza mke wa pili Alhamisi iliyopita msemaji wa Klabu ya Yanga Haji Manara amefunguka mpango wa kuongeza mke wa tatu na wanne kwa sababu taratibu za dini zinamruhusu.

"Ikitokea nafasi nyingine kwa mujibu wa dini yangu na kama nitakuwa na uwezo wa kuwahudumia kibaiolojia na kifedha nitaongeza mke mwingine kwa sababu dini inaniruhusu", amesema Haji Manara.

Chanzo - EATV

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments