MRADI WA ELIMU KUPITIA MICHEZO UNAOSHIRIKIANA NA SHIRIKA LA LIIKE-FINLAND WAMEKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO MKOANI SINGIDA NA KUKAGUA BWENI WALILOJENGA KWA KUSHIRIKIANA NA WANCHI KATIKA SHULE YA SEKONDARY ITAJA
Mradi wa Education Through Sports Singida Kwa kushirikiana na marafiki kutoka nchini Finland kupitia shirika la LiiKe-Finland wamefika Shule ya Sekondari Itaja kukabidhi vifaa vya michezo pamoja na kuona bweni la wanafunzi wasichana walilojenga Kwa kushirikiana na wananchi wa Itaja.

Picha Baada Ya Kuwasili Mkoani Singida Bw. Arii Rafiki Kutoka Shirikan  La LiiKe-Finland Na Kupokelewa Na Bw. Anodi Bugado Meneja Mranda Wa Elimu Kupitia Michezo Mkoani Singida.
                                       

                                       


Bw Arii Rafiki Kutoka Shirika La LiiKE-Finland Akifurahiya Ngoma Na Nyimbo Za Kinyatulu Zilizokuwa Zinaimbwa Na Kucheza Katika Secondary Ya Itaja Baada Ya Kuwasili Shuleni Hapo.
Picahani Ni Bw. Arii Akiwasilimi wanafunzi Wa Shule Ya Secondary Itaja

Hapa Mgeni Baada Ya Kusalimiana Na Wanafunzi Aliambatana Na Viongozi Wa Chama Na Serikali Kutoka Itaja Na maeneo Ya Jirani Wakielekea Kutazama Bweni Ambalo Wamelijenga Shuleni Hapo.
Bw. Arii Wakifanya Mahojiano Na Mwanafunzi Wa Sekondari Ya Itaja Katika Eneo Linalotarajiwa Kujengwa Nyumba Ya Muuangalizi Wanafunzi Wanaoishi Katika Bweni Walilojengwa Kwa Kushirikiana Na Wanchi Wa Itaja.
Wanafunzi Wa Shule Ya Sekondary Itaja Wakifurahiya Baada Ya Kupokea Vifaa Vya Michezo Na Kuputa Mpakato Kutoka Kwa Marafiki Wa Shirika La Liike-Finland.

                                       
Walimu Kwa Kushirikiana Na Kamati Ya Shule Ya Secondary Itaja Wakimfalisha Vazi La Heshima Bw Arii Rafiki Kutoka Shirika La LiiKe Finland Baada Ya Kuwasili Shuleni Hapo.
                                      

Rafiki Kutoka Shirika La LiiKe -Finland Bw. Arii Picahani Na Wanafunzi Na Waalimu Wa Kinyamwenda Baada Ya Kuwakabidhi Vifaa Vya Michezo ,Alipowasili Shuleni Hapo.
N Hapa Walimu na Kamati Ya Shule Ya Msingi Kinyamwenda Wakimkabidhi Zawadi Bw. Arii              

                                     
Baada Ya Kukabidhi Vifaa Vya Michezo  Katika Shule Ya Kinyamwenda Bw. Arii Na Mwenyeji Wake Bw. Anordi Bugado  Waliambatana Na Kamati Ya Shule Na Kuelekeea Katika Mapongo Ya Kinyamwenda

Bw. Anordi Bugado Meneja Wa Mradi Wa Elimu Kupitia Michezo Mkaoani Singida Akiwa Katika Kitanda Cha Asili Kwenye Mapango Ya Kinyamwenda.
Na Hapo Ni Katika Mapango Ya Kinyamwenda Amba Zamina Iikuwa Ni Mahakama Katika Eneo Hilo


Mradi wa Education Through Sports Singida Kwa kushirikiana na marafiki kutoka nchini Finland kupitia shirika la LiiKe-Finland wamefika  Akisaini Kitabu Cha Wageni Katika Ofisi Za Chama Cha Mpira Wa Miguu Mkoa Wa Singida (SIREFA) Walio Simama Kulia Ni Bw. ANordi Bugado Meneja Mradi Wa Elimu Kupitia Michezo Mkaoni Singida Na Kushoto Ni Afisa Michezo Katika Manispaa Ya Singida Bw. Samweli Mwaikenda .Wakiwa na Mwenyeji Wa Ofi Hiyo Afisa Habari Na msemaji Wa Chama Cha Mpira Mkoa Wa Singida Bw. Abdul Bandola.

                                       

Mradi wa Education Through Sports Singida Kwa kushirikiana na marafiki kutoka nchini Finland kupitia shirika la LiiKe-Finland Wasili Singida Manispaa Na kukutana Na Vijana Wa Fc Voto Singida Ambao Kwa sasa Wanalelewa Na Singida Warriors Na Kuwakabidha Vifaa Vya Michezo.

                                   

Na Hapa Ni Picha Mbali  Mbali Za Kumbukumbu Ya Takribani Miaka 4 Iliyopita Wakati Wa Mchakato Wa Kuwachagua Watoto  Waliounda Timu Ya Singida  Fc Vito Walienda  Kushiriki Mashindano Ya Watoto Barani Ulaya Nchini Finland.

Na Mwandishi Wetu Abdul Bandola :Singida
 TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments