Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga kura, kuchagua Viongozi wa Shina namba 1, Tawi la Chamwino, Wilayani Chamwino, Dodoma leo tarehe 30, Aprili 2022.(Picha na Adam H. Mzee).
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga kura, kuchagua Viongozi wa Shina namba 1, Tawi la Chamwino, Wilayani Chamwino, Dodoma leo tarehe 30, Aprili 2022.(Picha na Adam H. Mzee)Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu wa Chama hicho Ndugu Daniel Chongolo (kushoto)na Katibu wa NEC Organizesheni Ndugu Moudline Cyrus Castico (kulia) wakishangilia kama ishara ya uchaguzi wa Viongozi kwenda salama katika Shina namba 1, Tawi la Chamwino, Wilayani Chamwino, Dodoma leo tarehe 30, Aprili 2022.(Picha na Adam H. Mzee)
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia mara baada ya kupiga kura na kuchagua Viongozi wa Shina namba 1, Tawi la Chamwino, Wilayani Chamwino, Dodoma leo tarehe 30, Aprili 2022.(Picha na Adam H. Mzee)
0 Comments