Recent-Post

Rais Samia Akizungumza Na Wabunifu Mbalimbali Pamoja Na Wadau Wakubwa Wa Tasnia Ya Filamu Jiji La Los Angeles,Marekani

 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wabunifu mbalimbali pamoja na Wadau wakubwa wa Tasnia ya Filamu katika Jiji la Los Angeles nchini Marekani leo tarehe 21, Aprili, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja Wabunifu mbalimbali pamoja na Wadau wakubwa wa Tasnia ya Filamu katika Jiji la Los Angeles nchini Marekani mara baada ya kuzungumza nao leo tarehe 21, Aprili, 2022.

Post a Comment

0 Comments