Rais Samia Akutana Na Kuzungumza Na Rais Wa National Democratic Institute Jijini Washington Marekani

 

-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa National Democratic Institute (NDI) Dkt. Derek Mitchell aliyeambatana na Ujumbe wake Jijini Washington Nchini Marekani leo tarehe 14 April 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika Mazungumzo na Rais wa National Democratic Institute (NDI) Dkt. Derek Mitchell  Jijini Washington Nchini Marekani leo tarehe 14 April 2022.
 



TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments