RAIS SAMIA AZUNGUMZA KATIKA MKUTANO WA WAFANYABIASHARA WA MAREKANI USAFBC-WASHINGTON NCHINI MAREKANI

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais ambaye pia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Chemba ya Biashara ya Marekani Suzanne Clark mara baada ya mazungumzo yao katika Ofisi za Chemba hiyo Jijini Washington nchini Marekani tarehe 22 Aprili, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais ambaye pia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Chemba ya Biashara ya Marekani Suzanne Clark wakati akiwasili katika Ofisi za Chemba hiyo Jijini Washington nchini Marekani tarehe 22 Aprili, 2022.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mkutano wa Wafanyabiashara wa Marekani uliofanyika katika Makao Makuu ya Ofisi za Chemba ya Biashara ya Marekani Jijini Washington nchini Marekani tarehe 22 Aprili, 2022. PICHA NA IKULU

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments