SIMBA SC KUUMANA NA ORLANDO PIRATES ROBO FAINALI CAF

 

WAWAKILISHI Pekee wa Tanzania na ukanda wa Afrika Mashariki timu ya Simba imepangwa kucheza na Orlando Pirates ya Afrika Kusini katika hatua ya robo Fainali ya Michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika.


Simba Sc wataanza kucheza mchezo wao wa kwanza kati ya April 15 au 17 katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar Es Salaam.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments