Recent-Post

WAMAMA WAGAWANA FAIDA YA NG`OMBE 23 NA KIASI CHA FEDHA WILAYANI LOGIDO MKOANI ARUSHA.

Meshy Pius Singolyo Mratibu Wa Sara Bank Mkoani Arusha 
                        
                       
 Baada Ya Kusikiliza Video hii Utaendelea kuangalia Picha Mbali Mbali Zilizojili   Katika Tukio Hilo
                                     





   

               
Wakina Mama Wa Jamii Ya Kifugaji Kutoka Wilaya Ya Logido 


Wamegawana Faida Ya Ng`ombe 23 Na  Kiasi Cha Fedha 


Walizopata Kupitia Ufungaji Na Shughuli Za Vikoba Huku Shirika 


La Maasai Sola Chini Ya Mkurugenzi Wake Bw.Kioko Moitiko 


Amesema Shirika Kupitia Mradi Wake  Sare Benk Ameahidi 


Kuendelea Kuwawezesha Kwa Kuwapa Elimu Na Mitaji Ili 



kuboresha Na Kuongeza Ufanisi Katika Kazi Zao.


                 






Post a Comment

0 Comments