Waziri Wa Nishati ,January Makamba(Kati Kati Alievaa Miwani) Naibu Waziri Wa Nishati, Steven Byabato (Wapili Kutoka Kulia) Na Katibu Mkuu Wizara Ya Nishati, Muhandisi Felshaesmi Mramba(Kulia) Wakikagua Mabanda Ya Maonyesho Katika Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma Ikiwa Ni Maadhimisho Ya Wiki Ya Nishati inayoanza leo Jumatatu 23may hadi 26 may Mwaka huu.
Waziri Wa Nishati January Makamba (Kulia ) Akisalimiana Na Wataalam Kutoka Shirika La Umeme Tanesco Mkoa Wa Morogoro Wakati Alipokuwa Anafanya Ukaguzi Wa Mabanda Mbali Mbali Ikiwa Ni Maadhimisho ya wiki Ya Nishati Inayoendelea Katika Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma
Habari Picha Na Timotheo Mathayo(Wizara Ya Nishati
0 Comments