KATIBU MKUU CHONGOLO AFUNGUA MAFUNZO KIBAHA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akihutubia wakati wa ufunguzi wa masomo awamu ya tatu katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere, Kibaha mkoani Pwani leo tarehe 25, Mei 2022.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akifuatilia hotuba ya Waziri wa Idara ya Mambo ya Nje ya CPC Comrade Song Tao (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa masomo awamu ya tatu katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere, Kibaha mkoani Pwani leo tarehe 25, Mei 2022.

Post a Comment

0 Comments