MAJALIWA ATEMBELEA MASOKO YA WAMACHINGA ARUSHA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wamachinga baada ya kutembelea soko la Mbauda jijini Arusha, Mei 24, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea soko la Wamachinga la Mbauda jijini Arusha, Mei 24, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella na wa tatu kushoto Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maeneo wanayofanyia baiashara Wamachinga katika soko la Mbauda jijini Arusha, Mei 24, 2022.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea Soko la Kilombero kabla ya kuzungumza na wafanyabiashara wa soko hilo jijini Arusha Mei 24, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  na wananchi katika viwanja vya soko la Kilombero  baada ya kutembelea soko hilo jijini Arusha, Mei 24, 2022.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments