Mhe. Ally Kassinge Mbunge Wa Jimbo Kiwa, Akizungumza Na Wataalam Kutoka Wizara Ya Nishati Leo May 24,2022, Wakati Wa Wikii Ya Nishati Inayoendelea Katika Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma
Mhe. Dr. Rima Kabali Mbunge Kutoka Mkoa Wa Iringa Akisaini Kitabu Cha Wageni Katika Banda La Wizara Ya Nishati ,Leo 24 May 2022
Mhe.Magreth S. Sitta Mbunge Wa Jimbo La Urambo Akisaini Kitabu Cha Wageni Kwenye Banda La Wizara Ya Nishati Leo 24 May 2022
Habari Picha Na Timotheo Mathayo Dodoma
0 Comments