Recent-Post

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI LEO JIJINI DODOMA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Festo Dugange (katikati) na Naibu Waziri Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Geofrey Kasekenya (kulia), bungeni jijini Dodoma,Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako, bungeni jijini Dodoma,Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji. Dkt. Eliezer Feleshi, bungeni jijini Dodoma, Mei 12, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments