Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Bw.Kheri A.Mahimbali Akizungumza na Menejimenti ya taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) wakati alipofanya ziara ya kukagua miundombinu na karakana za kuwezesha magari kutumia mfumo wa GESI asilia (CNG)

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Bw.Kheri A.Mahimbali wa kwanza kwenye picha, akizungumza na Menejimenti ya taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) wakati alipofanya ziara ya kukagua miundombinu na karakana za kuwezesha magari kutumia mfumo wa GESI asilia (CNG)


Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Bw.Kheri A.Mahimbali akipewa maelezo ya namna mfumo wa gesi asilia unavyofanya kazi katika magari kutoka kwa Dr.Esebi Nyari kutoka Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam ( DIT)

Mmoja wa wateja wa gesi asilia kwenye magari (CNG) akitoa ushuhuda wa ufanisi na unafuu wa bei ya nishati hiyo kwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Bw.Kheri A.Mahimbali, wakati alipofanya ziara ya ukaguzi wa karakana ya BQ Contractors iliyopo Jijini Dar es Salaam.
 Na Timotheo  Afisa Mawasiliano Wizara Ya Nishati

Post a Comment

0 Comments