RAIS SAMIA AFUNGA SEMINA YA WABUNGE WA CCM JIJINI DODOMA LEO.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi  (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati akifunga Semina ya Wabunge wa CCM iliyofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma ,leo Mei 21 ,2022.


Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM , Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Wabunge wa CCM (CAUCUS) Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza katika Semina Ya Wa Bunge wa Bunge la Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).liyofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma ,Leo Mei 21, 2022.


Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Komred Abdulrahman Kinana akizungumza (wakati wa uwasilishaji wa mada) katika Semina ya Wabunge wa CCM iliyofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma liyofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma ,Leo Mei 21, 2022..
Wajumbe wa Sekretariet ya Chama Cha Mapinduzi wakiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndg.Daniel Chongolo (wa kwanza kushoto) wakifuatilia Semina hiyo ya Wabunge wa CCM iliyofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma ,Leo Mei 21, 2022..Sehemu ya Wajumbe wa Semina hiyo

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments