RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA GHANA NANA AKUFO-ADDO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Ghana Mhe. Nana Akufo-Addo katika Ikulu ya Accra (Jubilee House) nchini Ghana tarehe 24 Mei, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Jamhuri ya Ghana Mhe. Nana Akufo-Addo kabla ya mazungumzo yao yaliyofanyika katika Ikulu ya Accra (Jubilee House) nchini Ghana tarehe 24 Mei, 2022.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments