Rais Samia Apokea Ujumbe Maalum Kutoka Kwa Rais Wa Jamhuri Ya Zimbabwe Emmerson Mnangagwa, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma Leo.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa, Balozi Simbarashe Mumbengengwi mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 22 Mei,2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa, uliowasilishwa kwake na Mjumbe huyo Maalum Balozi Simbarashe Mumbengengwi, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 22 Mei,2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe Emmerson Mnangagwa, Balozi Simbarashe Mumbengengwi mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 22 Mei,2022.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa, Balozi Simbarashe Mumbengengwi mara baada ya kuwasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais  Mhe. Emmerson Mnangagwa Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 22 Mei,2022.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments