Sabaya na wenzake walikata rufaa kupinga hukumu ya kifungo cha miaka 30 jela iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha.
Mbali na Sabaya, wengine ni Sylvester Nyegu na Daniel Mbura.
Sabaya, wenzake wasubiri hukumu
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili wamefikishwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Arusha kwa ajili ya kusikiliza hukumu ya rufaa yao kupinga kifungo cha miaka 30 jela.
0 Comments