Wabunge Waliotimuliwa Uanachama Chadema Watinga Mungeni

Wabunge wa viti maalum waliofukuzwa uanachama wa Chadema juzi leo Ijuma Mei 13 wameudhuria vikao vya Bunge isipokuwa Halima Mdee na Ester Bulaya.

Aliyenza kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge ni Ester Matiko saa 2:50 asabuhi akifutiwa na Salome Makamba na wengine waliingia baadaya kikao cha Bunge kuanza.

Leo kila mmoja na wakati wake, tofauti na mara ya kwanza walipofika kwa ajili ya kuapishwa ambapo waliingia wote 19 katika viwanja vya Bunge.

Hadi kufiki saa tatu Bunge linaanza wabunge watatu na wengine waliingia baada ya kikao cha leo kuanza.

Wabunge wengine waliingia baada ya kikao kuanza huku wabunge wengine wakiwa wametulia kama kawaida.

 

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments